Address
Fikia Upeo Co. Ltd
P.O.B ox 369 Bariadi-Simiyu-TZ
Phone: +255 785 661447

Maarifa. Ubunifu na kasi

Hobby yako ni kazi unayoifanya mara baada ya kazi za kawaida za kila siku hasa muda wa mapumziko. Hobby yako inaweza kuwa ni kusoma vitabu, kuangalia mpira wa miguu, kutembelea maeneo yenye mandhari nzuri ya ufukweni, kufundisha, kucheza mpira na…

Karne na karne zimepita binadamu wamekuwa wakijishugulisha na biashara popote duniani. Tunashuhudia nchi na nchi au kampuni na kampuni kila kona ya dunia kila kunapokucha wanafunga mikataba ya kufanya biashara. Pia tunashuhudia katika dunia hii kasi ya kusafiri ya watu…