Address
Fikia Upeo Co. Ltd
P.O.B ox 369 Bariadi-Simiyu-TZ
Phone: +255 785 661447

Maarifa. Ubunifu na kasi

Karne na karne zimepita binadamu wamekuwa wakijishugulisha na biashara popote duniani. Tunashuhudia nchi na nchi au kampuni na kampuni kila kona ya dunia kila kunapokucha wanafunga mikataba ya kufanya biashara. Pia tunashuhudia katika dunia hii kasi ya kusafiri ya watu…