Address
304 North Cardinal St.
Dorchester Center, MA 02124
Work Hours
Monday to Friday: 7AM - 7PM
Weekend: 10AM - 5PM
Address
304 North Cardinal St.
Dorchester Center, MA 02124
Work Hours
Monday to Friday: 7AM - 7PM
Weekend: 10AM - 5PM

Maarifa. Ubunifu na kasi

Naomba nianze kwa kukuliza swali, ni jambo gani hujafanikiwa kulifanya kwa sababu ya kukosa utaalamu (maarifa)? Mfano linaweza kuwa ni biashara, kilimo, ufugaji, uendeshaji wa miradi, uongozi, uandishi, uwekezaji,au jambo jingine lolote. Kama kuna jambo la namna hiyo hujapata ufumbuzi…

Karne na karne zimepita binadamu wamekuwa wakijishugulisha na biashara popote duniani. Tunashuhudia nchi na nchi au kampuni na kampuni kila kona ya dunia kila kunapokucha wanafunga mikataba ya kufanya biashara. Pia tunashuhudia katika dunia hii kasi ya kusafiri ya watu…