Category Uncategorized

PESA INAYO MABAWA

Katika maisha ya kila siku, watu wengi wanafukuzana na pesa kana kwamba pesa inaweza kushikwa kwa mikono. Wanaamka alfajiri, wanahangaika mchana kutwa, wanarudi usiku wakiwa wamechoka, halafu kesho wanaanza tena safari ile ile ya kuikimbiza pesa. Lakini Biblia inatoa onyo…